Advertisements

Monday, July 4, 2016

AJALI YATOKEA MKOANI SINGIDA BAADA YA MABASI MAWILI KUGONGANA

 
Habari tulizozipata hivi punde kutoka Singida ni kwamba mabasi mawili ya kampuni ya City Boys yamegongana katika eneo la Maweni.

Taarifa za awali zinasema kuwa watu zaidi ya 20 wamepoteza maisha papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa..
Ajali hiyo hiyo imetokea mchana huu ambapo kamanda wa polisi mkoa wa Singida amesema ajali hiyo imetokea wakati mmoja wa madereva akifanya mchezo wa kukwepesha  gari.


Taarifa kamili inakuja hivi punde.

No comments: