Advertisements

Saturday, August 13, 2016

Kipindi cha Reggae Time Pride Fm.......Aug 13 2016...AKISI YA MAISHA

Photo Credits: Inviewsocial.com
Katika Reggae Time ya leo (Jumamosi Agosti 13, 2016), nimeungana na Kokuberwa Mushala kupitia nukuu chache kuhusu VIJANA. Ambao jana waliadhimisha siku yao ya kimataifa.
Karibu
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: