Advertisements

Friday, August 19, 2016

KIPINDI KIPYA KUTOKA KILIMANJARO STUDIO CHA ONGEA NA SHANGAZI


Kipindi cha ONGEA NA SHANGAZI kinarejea LIVE leo jioni. Aunty Asha Akida akiwa nyuma ya mic akishirikiana na Mtangazaji wako mahili Mubelwa Bandio usikose kujifunza maswala ya mahusiano kwa wapendanao, maisha ya familia, malezi ya watoto na huku ukipata muziki wa mwambao na tafsili yake.

Ungana nasi kuanzia saa 11 kamili jioni majira ya Marekani Mashariki (5:00pm ET) na hii ni kila siku ya ijumaa kupitia www.kwanzaproduction.com ama kupitia TuneIn http://tun.in/sfeLX
Kwa walio Marekani na Canada piga 240 454 0093

Karibuni

No comments: