Advertisements

Sunday, August 21, 2016

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakimtazama mtoto Nchambi Peter aliyeungua moto wakati walipotemblea hospitali ya wilaya ya Mpanda Agosti 21, 2016. Kulia ni Mam wa mtoto huyo, Dotto Makengele. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea hospitali ya wilaya ya Mpanda akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia kwake)wakizungumza na wakagonjwa wakati walipotembelea hospitali ya wilaya ya Mpanda wakiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa w Katazi Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majlaiwa na mkewe Mary wakitazama watoto mapacha wa kiume waliozaliwa na Bi Sikudhani Raashidi usiku wa kuamkia Agosti 21, 2016 katika hospitali ya wilaya ya Mpanda wakati walipoiembelea Agosti21, 2016. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti Maalum, Anna Lupembe. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments: