Advertisements

Sunday, August 28, 2016

NGOMA AFRICA BAND WALIVYO TINGISHA JIJI LA FRANKFURT,UJERUMANI

Ngoma Africa Band yawatia kiwewe wapenzi wa muziki Frankfurt,Ujeruman
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band maarufu kama FFU-ughaibuni inayoongozwa na mwanamuziki nguli Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja juzi kati ya jumamosi ya 13 Septemba 2016 ilifanikiwa tena kulitingisha jiji la Frankfurt nchini ujerumani katika maonyesho ya Afrika-Karibik Festival yaliyo fanyika katika viwanja vya Rebstock Park,ambapo bendi hiyo iliwatia kiwewe waudhuriaji wa onyesho hilo.Bendi hiyo maarufu na mdundo wake "Bongo Dansi" inatajwa kuwa ndio bendi imara ya kiafrika kudumu kwa muda mrefu na kuteka soko la muziki barani ulaya.

1 comment:

Anonymous said...

Ze Ngoma Afrika band maarufu ffu ughaibuni aka "watoto wa mbwa" aka viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens jamaa mzigo wanauweza