Advertisements

Friday, August 12, 2016

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI DAR AKITOKEA MWANZA

MWENYEKITI wa CCM, Rais John Pombe Magufuli, akipokewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaji Madabida, (kulia), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanachi kwenyeuwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo asubuhi Agosti 12, 2016. Rais Magufuli anatarajiwa kukutana na watendaji wa chama hicho kwenye ofisi ndogo za makao makuu ya CCM Lumumba na kufanya mazungumzo nao. (PICHA YA IKULU)

No comments: