Advertisements

Tuesday, August 23, 2016

RAIS WA ZANZIBAR, DK.SHEIN AKUTANA UONGOZI WA KAMPUNI YA MILLICOM

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Bw. Mauricio Ramos, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya "Millicom Group"akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo (kushoto) Ndg. Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zantel.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bibi Rachel Samren Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Millicom Group pia Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Zantel (katikati) Bw. Mauricio Ramos, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya "Millicom Group"(wa pili kulia) na (kushoto) Ndg. Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zantel  ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Unguja leo kwa mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Bw. Mauricio Ramos, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya "Millicom Group"akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo.
(Pivha na Ikulu)

No comments: