Advertisements

Tuesday, August 16, 2016

Ramson wa Kwanza Unit, Mwana-FA na Mr TZ live radioni jioni ya leo

Wanamuziki  MWANA FA, Ramson wa KWANZA UNIT na MR TZ leo watashiriki moja kwa moja (LIVE) kwenye kipindi cha SWAHILI HIP HOP NA BONGO FLAVA 
Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikiliza nyimbo nyingi za muziki wa bongo flava na Swahili hip hop na kupata uchambuzi makini wa wawasanii wa bongo Flava na Swahili hip hop kutoka mtangazaji wako Abdulrahaman Buheti anayejua muziki huo upande wa pili ambao mimi na wewe hatufahamu .
Ungana nasi kuanzia muda wa saa 11 kamili jioni majira ya Marekani Mashariki (5:00pm ET) na hii ni kila siku ya J4 kupitia www.kwanzaproduction.com ama kupitia TuneIn http://tun.in/sfeLX
Kwa walio Marekani na Canada piga 240 454 0093
Karibuni

No comments: