Advertisements

Tuesday, August 16, 2016

TGNP YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UTAFITI WA URAGABISHI NA BAJETI YA MWAKA 2016/17 KATIKA MLENGO WA KIJINSIA

   Mkurugenzi Mtendaji TGNP Mtandao, Lilian Liundi akifungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu kuripoti habari za utafiti wa uraghabishi na Bajeti ya mwaka 2016/17 yaliyoandaliwa na Shirika la TGNP Mtandao.
Afisa Program uchambuzi na Machapisho kutoka TGNP Mtandao, Bw. Deogratius Temba akitoa mada ya bajeti kwa mlengo wa kijinsia ya mwaka 2016/17 kwa baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika semina ya kuripoti habari zinazohusu uragabishi ambao umekuwa ukifanywa na Mtandao wa kijinsia Tanzania wa TGNP.
 Mwandishi wa Gazeti la Nipashe, Christina Mwakangale akichangia mada
 Mwandishi kutoka TV1, Robert Latonga akichangia mada wakati wa semina iliyokuwa ikihusisha majadiliano ya bajeti ya mlengo wa kijinsia
Mwandishi wa Habari kutoka TBC International, Deogratias Salufu akichangia mada.
Mkuu wa Program ya Taarifa na Utafiti kutoka TGNP, Gloria Shechambo akitoa elimu kwa waandishi wa habari kuhusu utendaji kazi zao za kila siku pamoja na bajeti ya mlengo wa kijinsia katika semina iliyofanyika katika ukumbi wa TGNP Mtandao.

 Baadhi ya makundi yakitengeneza bajeti yenye mlengo wa kijinsia
 Mwandishi wa Habari kutoka Radio One na ITV, Farhia Middle akichangia mada
 Mwandishi wa Tanzania Daima, Asha Bani akiwasilisha bajeti ya kundi lao ili kuonesha mlengo wa kijinsia katika utoaji wa bajeti.
Mwandishi wa East Africa Radio, Loyce Joseph akitoa mchango kuhusu bajeti iliyowasilishwa na moja ya kundi
Mwandishi wa Mwananchi, Ephraim Bahemu akichangia mada wakati wa kuwasilisha bajeti zilizotengenezwa kwenye makundi yaliyoundwa ndani na baadhi ya waandishi waliofika katika semina iliyoandaliwa na shirika la TGNP Mtandao

No comments: