Advertisements

Monday, August 22, 2016

UPDATES ZA MSIBA WA KAKA BESTON MWAKALINGA ULIOTOKEA TANZANIA

Chief Mwakalinga akiongea mbele ya wageni walioenda kumpapole kwa kufiwa na kaka yake  huko Tanzania. Hapa ni nyumnani kwa Chief Mwakalinga huko Poughkeepsie NY.
Kama ilivyodesturi yetu, tujitokeze kuwafariji wafiwa na kushirikiana nao katika kipindi hiki kigumu.
Ukitaka kufika nyumbani kwa Chief 
ADDRESS:
9 Thornberry Way
Poughkeepsie, NY 12603.


Kwa taarifa zaidi, wasiliana na;

Beston Mwakalinga - 845 219 4606

Jackline Kamazima - 614 312 8611

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen

Uongozi NYTC

Mwenyekiti wa NYCT Bwana Mwingira akiongea nyumbani hapo.
Kwapicha zaidi nenda soma zaidi.
1 comment:

Anonymous said...

Wafiwa poleni sana.