Advertisements

Monday, September 12, 2016

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI NCHINI ZAMBIA

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka mchana tayari kumwakilisha Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Sita wa Zambia Mhe Lungu uwanja wa Mashujaa kesho Septemba 14, 2016(Picha na IKULU).

No comments: