Advertisements

Friday, September 23, 2016

MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA UNDP NCHINI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo wakati alipokuwa akizngumza kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na UNDP. Dabo alimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Nirine Kiplagat, Meneja wa Miraji katika Shirika hilo, na Godfrey Mulisa wa UNDP. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia), kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na UNDP. Dabo alimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Nirine Kiplagat, Meneja wa Miraji katika Shirika hilo, na Godfrey Mulisa wa UNDP.

No comments: