Miss Tanzania USA ndiyo atakaewawakilisha warembo wa Ughaibuni kwenye mashindano ya Miss Tanzania pale Tanzania tupia maoni yako kiroho safi juu ya mlimbwende wa ughaibuni wetu.
Mrembo huyu alipendelewa hakustahili kushinda aliyetakiwa kushinda alikuwa first runnerup(Queen) huyu hajui kiswahili hata kidogo. 2.Anahitaji kwenda Gym akapunguze hilo tumbo na manyama uzembe. 3.Miss Tz USA washiriki walikuwa 4tu.Ukumbi ulikuwa empty kama watu 30 Mwongoza mashindano waachie vijana wanaojua fashion hii kazi haiitaji hasira.
It's a joke Breianna Fields, unless you are living on a different planet. I understand your argument (thinking behind your question) but we all live in this word and we want to win.
If you want a debate on this, I will be more than happy to debate you after you have lost.
Hao wazuri mnawajua nyie walishiriki? wenyewe mmesema kulikua na washindani wanne tu. Nendeni mkashindane nyie next time. Kama ameshashinda inabidi mum-support, sio kum-put down dada wa watu. Mngesema hayo wakati anashindania ili asishinde. This is not good jamani, kah! Simjui wala hanijui.
16 comments:
is this some of kind of joke?
anaitwa nani?
Mrembo sana, Goodluck and safe journey
Jamani asiende hawa watu wako serious kweli hebu angalieni walimbwende wa nyumbani mlinganishe this is a joke seriously
Are you serious?
Walimbwende wa bongo awajua vizuri!??
Mmh..shuu... ndo miss? tooba
Mrembo huyu alipendelewa hakustahili kushinda aliyetakiwa kushinda alikuwa first runnerup(Queen) huyu hajui kiswahili hata kidogo.
2.Anahitaji kwenda Gym akapunguze hilo tumbo na manyama uzembe.
3.Miss Tz USA washiriki walikuwa 4tu.Ukumbi ulikuwa empty kama watu 30
Mwongoza mashindano waachie vijana wanaojua fashion hii kazi haiitaji hasira.
Yani nyie na hao ma judge kweli wapuuzi khee tz inawasichana wazuri mnatuekea kituko??Hivi nyie wazima kweli??
Huyu miss sijamkubali kabisa hana mvuto wa kuwa miss TZ watoto wazuri wote wa ki Bongo hamjawaona?
I think it is a joke. It is not funny though,
Why would it be a joke?
Why would it be a joke?
It's a joke Breianna Fields, unless you are living on a different planet. I understand your argument (thinking behind your question) but we all live in this word and we want to win.
If you want a debate on this, I will be more than happy to debate you after you have lost.
Good luck pretty,
How do you guys define beauty? Why we like to put ourselves down. We should be lifting each other up.
Hao wazuri mnawajua nyie walishiriki? wenyewe mmesema kulikua na washindani wanne tu. Nendeni mkashindane nyie next time. Kama ameshashinda inabidi mum-support, sio kum-put down dada wa watu. Mngesema hayo wakati anashindania ili asishinde. This is not good jamani, kah!
Simjui wala hanijui.
Post a Comment