Advertisements

Tuesday, September 20, 2016

NDEGE YA KWANZA YA ATCL YATUA JIJINI DARA MCHANA WA LEO

 Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikipata saluti ya maji (Water Canon Salutation) toka kwa magari ya Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mara tu bada ya kuwasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere  saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine wakisubiri kuwasili kwa Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016.
 Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere  saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.



Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akisalimiana na Rubani aliyerusha Ndege mpya moja kati ya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine wakiwa kwenye  Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016.
Baadhi ya Maafisa wa Serikali wakiwa kwenye Ndege hiyo.
Rubani wa Ndege hiyo akiweka mambo sawa baada ya kutua.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho, Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu pamoja na marubani waliokuja na ndege hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya  Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akipeana mikono kwa furaha na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu mara baada ya  Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016.
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuwasili kwa Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo Septemba 20, 2016. PICHA NA IKULU

2 comments:

Anonymous said...

Tunawapongeza kwa hilo ni jitihada za mkuu JPM. Tanzania kumbe tunaweza. Sasa baada ya hii hebu fanyeni bidiee kuoatabwala ndege moja ya masafa hata kwenda South au Dubai. Walau ya abiria 180 zaidi. Tusindikizane na panga boi!! Uwanja ndio huo unakamilika. Ni mchango tu.

Anonymous said...

Mwendo wa kasi kwa Maghufuli, Mungu akimjalia uhai na uzima katika kipindi cha uongozi wake basi si ndege tu bali hata Cruser ships za kuwapeleka watanzania kwenda kutalii nchi za ng'ambo zitakuwepo. Tanzania ni nchi tajiri sana kama zilivyo nchi nyingi sana barani Africa bali waafrica ni wazembe tunaoamini yakwamba watu weupe au wazungu ni malaika wenye miujiza yakujakurahisisha maisha yetu sisi wenyewe tukiwa tumelala bila ya jitihada zetu zozote binafsi wakati kiuhalisia hao watu hawafai hata kidogo kuwategemea na ndio maana mpaka sasa Africa ni bara masikini kwa ulaghai wa wazungu huku wakitengeneza makwao kwa rasilimali za Africa. Jitihada za makusudi za kulinda na utumizi mzuri wa rasilimali za Africa kwa manufaa ya taifa kama anavyopambana Maguful na Tanzania yake ndio muarubaini wa kuepukana na ukoloni mambo leo na kwa Maghufuli ni mtu wa kupongezwa sana kwa mwanzo mzuri ili Mungu ampe nguvu na hekima azidi kupambana kwani ana maadui wengi wa ndani na wa nje wanamuombea mabaya, Mungu atamlinda Amin.