Msanii, Mrisho Mpoto akitumbuiza katika uzinduzi wa Miongozo ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Msekwa , bungeni mjini Dodoma Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea bango lenye anwani na Postikodi ya makazi yake ya Dodoma baada ya kuzindua Miongozo ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi kwenye ukumbi wa Msekwa , bungeni mjini Dodoma Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza wakati alipozindua Miongozo ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi Miongozo ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi kwenye ukumbi wa Msekwa , bungeni mjini Dodoma Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakakala ya kitabu cha Miongozo ya ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi bada ya kuuzindua kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma Septemba 14, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3 comments:
Some people belong in jail not in public.
Who belongs to jail? Be specific please...
Such as?..elaborate please!
Post a Comment