Advertisements

Friday, September 23, 2016

ZANZIBAR YAPOKEA MTAMBO MAALUM WA MAWASILIANO YA SIMU ZA NDANI (INTER CALL)

Meneja Mkuu wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nd. Ali Ibrahim Kilupi kushoto akimkabidhi msaada wa mtambo maalum wa mawasiliano ya Simu za ndani { Inter call } Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Joseph Abdulla Meza kwa ajili ya Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za SMZ Mjini Dar es salaam. Wa kwanza kutoka Kulia anayeshuhudia tukio la makabidhiano hayo ni Mratibu Mkuu wa Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za SMZ Mjini Dar es salaam Ndugu Issa Mlingoti Ali.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Meza akiuwasilisha msaada huo wa Mtambo wa mawasiliano ya Simu kwa mlengwa Mratibu Mkuu wa Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za SMZ Mjini Dar es salaam Ndugu Mlingoti. Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments: