Advertisements

Tuesday, October 4, 2016

DK.SHEIN AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni, akiwa katika ziara ya siku mbili na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa (kushoto) mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni akiwa Nchini kwa ziara ya siku mbili na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni akiwa katika ziara ya siku mbili pamoja na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni akiwa katika ziara ya siku mbili pamoja na ujumbe wake,[Picha na Ikulu, Zanzibar.]

No comments: