Advertisements

Monday, October 3, 2016

KOCHA WA MAJI MAJI ASIKITISHWA NA TIMU YAKE KUENDELEA KUFUNGWA

Timu ya Maji Maji imeendelea kufanya vibaya katika michezo yake ya nyumbani na ugenini, Ebu tizama mchezo huu kati yake na Stand United ambao wanalizombe walifungwa 2 - 0 katika mchezo uliochezwa  uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma pamoja na  makocha wa timu zote mbili wanavyouzungumzia mchezo huu huku ocha wa Maji Maji KALI ONGARA akijipanga namna ya kuisaidia maji maji .

No comments: