Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni (kushoto)
akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP)
Lawrence Lachmansingh (wapili kushoto) na Nirina Kiplagat, walipofika kwa ajili
ya kujadiliana juu ya masuala ya amani na maendeleo.Kulia ni
Katibu wa naibu waziri, George Mwansasu.Kikao hicho kimefanyika leo, Dar es
Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Meneja Mradi wa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), Nirina Kiplagat
akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (kushoto), wakati wa majadiliano juu ya masuala ya amani na
maendeleo.Katikati ni Mshauri wa Mradi kutoka UNDP, Lawrence Lachmansingh.
Kikao hicho kimefanyika leo, Dar es Salaam.
Mshauri wa Mradi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo
(UNDP) Lawrence Lachmansingh (wapili kushoto), akizungumza na Naibu Waziri waWizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (kushoto), wakati wa majadiliano juu ya masuala ya amani na
maendeleo.Watatu kushoto ni Meneja Mradi wa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), Nirina Kiplagat na
kulia ni Katibu wa Naibu Waziri, George Mwansasu. Kikao hicho kimefanyika leo,
Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akiagana na ujumbe kutoka Shirika la
Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), Nirina Kiplagat (aliyeshikana naye mkono)
na ) Lawrence Lachmansingh, baada ya kumaliza majadiliano juu ya masuala ya
amani na maendeleo. Kikao hicho kimefanyika leo, Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akiwasindikiza wageni kutoka Shirika la Umoja
wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), Nirina Kiplagat na Lawrence
Lachmansingh(kushoto), baada ya kumaliza majadiliano juu ya masuala ya amani na
maendeleo. Kikao hicho kimefanyika leo, Dar es Salaam.
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment