Advertisements

Tuesday, October 18, 2016

UBA BANK YAWASAKA WADAIWA WAKE

“United Bank for Africa (Tanzania) Limited inapenda kuutaarifu umma kwamba mahakama kuu kitengo cha biashara imeamuru kukamatwa kwa Bw. ABDALLAH TWAIB SONGORO wa GREAT AFRICA LTD kwa kutolipa deni kama ilivyobainishwa katika “Warrant of Arrest” ya kesi namba 168/2013 iliyotolewa tarehe 25th September 2016. Tunaomba yeyote anayejua taarifa zake awasiliane na benki kwa namba……… Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano

Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano

No comments: