Advertisements

Monday, October 17, 2016

Waziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa UN Ukanda wa Maziwa Makuu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ukanda wa Maziwa Makuu, Mhe.Said Djinnit. Mazungumzo hayo yalifanyika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Oktoba, 2016 
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Omary Mjenga (wa kwanza kushoto), Katibu wa Waziri, Bw. Gerald Mbwafu (wa kwanza kulia) na Afisa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Ally Ubwa kwa pamoja wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Waziri Mahiga na Bw. Djinnit (hawapo pichani). 
Mkutano ukiendelea 
Dkt. Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na Bw.Djinnit mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.

2 comments:

Anonymous said...

omary kumbe bado yupo jamani

Anonymous said...

Huyu jamaa yeue kila siku alikuwa moja kwa moja Ikulu! Nje alikuwa hapaji!! Adabu ya Magufuli wanaipata sasa! Sio kila mdudu Ikulu. Safi sana . Heshma ya nchi yarejea.