Advertisements

Tuesday, November 8, 2016

AZAM TV KUFANYA COVERAGE YA UCHAGUZI WA MAREKANI SWAHILI VILLAGE LEO JUMANNE NOVEMBA 8, 2016

Azam TV
Image result for CHARLES HILLARY
Mtangazaji Charles Hillary

AZAM TV ikiongozwa na mtangazaji wa siku nyingi Charles Hillary akisaidiana na Iddi Uwesu kutoka Uhai production ya AZAM TV watakuwepo Swahili Village siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 kuanzia 6pm (12 jioni) kufanya coverage ya uchaguzi wa Marekani.

AZAM TV Ambayo itakua Live moja
Kwa moja toka Swahili Village na hii siku itakua Wabongo Day badala ya Jumatano(hii ni kwa wiki hii tu) na ukifika Swahili jitambulishe Mtanzania kusudi upate ile discount yetu. Anuani ya Swahili Village ni 
10800 Rhode Island Ave,
Beltsville, MD 

KARIBU.

1 comment:

Anonymous said...

Whya AZAM TV and NOT CNN Fox5. And many others. Mnatuunganisha Azam umeme wa bongo mnaujua. Msitupotishe.