Advertisements

Wednesday, November 23, 2016

KILA UMATANO WABONGO DAY MGAHAWAMPYA WA SWAHILI VJLLAGEUSISAHAU KILA SIKU YA JUMATANO NI SIKU YETU YA KUKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KUJULIANA HALI BAADA YA KAZI NGUMU NA MAISHA YA UGHAIBUNI SWAHILI VILLAGE NDIO MAHALA PEKEE HUKU UKIBURUDIKA NA MUZIKI WETU WA NYUMBANI UKILETWA NA MADJS DAVE AKA JANJAVU NA DJ MO.

UKIFIKA JITAMBULISHE WEWE NI TANZANIA KUSUDI UPATE PUNGUZO LETU LA BEI YA VINYWAJI NA CHAKULA.

KARIBUNI TENA LEO JUMATANO.

No comments: