Advertisements

Tuesday, November 8, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUDHURIA MSIBA WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole mke wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Ferouz Bi. Shara Ferouz nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika kwenye na ndugu na jamaa msibani kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Salehe Ramadhan Ferouz nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar.
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Salehe Ramadhan Ferouz likitolewa nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar tayari kwenda kuswaliwa.

No comments: