Advertisements

Sunday, November 13, 2016

MIAKA MITANO YA KUMBUKUMBU YA LUCKRESIA TARIMO NTIRUGELEGWA NA BIRTHDAY YA MAMA INNO, DURHAM, NORTH CAROLINAKushoto ni Tonny Ntirugelegwa akiongea machache kwenye kumbukumbu ya maisha ya mke wake Luckresia iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 12, 2016 katika makaburi ya chapel Hill Memorial, North Carolina.

 Wanafamilia na waliokuwa marafiki wa karibu wa  Lucky wakiongea machache na kumwombea mpendwa wao katika kumbukumbu ya maisha yake iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 12, 2016 katika makaburi ya chapel Hill Memorial, North Carolina
Wanafamilia na waliokuwa marafiki wa karibu wa  Lucky wakiongea machache na kumwombea mpendwa wao
 ndugu na watoto wa marehemu wakiwa sehemu ya kumbukumbu ya maisha ya mama yao siku ya Jumamosi Novemba 12, 2016 katika makaburi ya Chapel Hill Memorial, North Carolina

 Mwenyekiti mstaafu wa Umoja wa Watanzania North Carolina (UTNC) Bwn. Lepana  akimlisha keki Bi. Matilda kwenye hafla ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyka kwenye mgahawa wa Carrabba's italian grill Durham, North Carolina siku ya Jumamosi Novemba 12, 2016 siku ambayo pia walisherehekea siku ya kuzaliwa ya mpendwa wao Lucky ambaye ni mdogo wa Bi. Matilda na katika siku za nyuma walikua wakisherehekea siku zao za kuzaliwa pamoja. 

Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidiNo comments: