Advertisements

Sunday, November 6, 2016

Mkutano wa TAMCO-DMV. Nov 12, 2016

TANGAZO LA MKUTANO TAMCO DMV

Salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuhu

Tunakaribishwa kwenye Mkutano wa Pamoja wa TAMCO, kwa madhumuni ya Kukaribisha Mahujjaji Wetu waliojaaliwa kwenda Kuhiji Makkah mwaka huu.
Pamoja na Kujadili Masuala Yetu mengineyo.

Siku ya Jumamosi November 12, 2016

Kuanzia Saa Kumi na Mbili hadi Saa Nne usiku (6:00PM – 10PM)

Anuani:
Indian Spring Terrace Local Park
9717 Lawndale Dr.
Silver Spring, MD  20901

Ukipata Taarifa hii Mjulishe Mwenzio.

Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na
Ali Mohammed 301-500-9762
Shamis Abdullah 202-509-1355
Asha Hariz 703-624-2409

Karibuni Wote na Tunatanguliza Shukran za dhati.


No comments: