Advertisements

Friday, November 25, 2016

PITA PITA YA VIJIMAMBO ATLANTA GEORGIA BLACK FRIDAY

Duka la Best Buy jijni Atlanta, GA wadau wakiwa wamepanga mstari kuanzia usiku wa manane kwa ajili ya"black friday" siku moja baadaya Thankgiving ambayo hutumiwa na maduka mengi kutoa punguzo ya bei ya bidhaa zao na husababisha watu kudamka mapema na wengine hutumia zaidi ya saa 26 kusubili maduka kufunguliwa.
Wadau wakiwa wamenunua TV.
Image result for black friday NOV 25 2016 ATLANTA
Wafanyakazi wa duka moja wapo Atlanta Georgia wakiandaa bidhaa kwa ajili ya Balck Friday.
Image result for black friday NOV 25 2016 ATLANTA
Wadau wakiwa wamejipatia vitu moja ya duka Atlanta, GA.
Image result for black friday NOV 25 2016 ATLANTA

No comments: