Advertisements

Monday, November 28, 2016

THC 2016 THANKSGIVING PARTY IN PICTURES

Jumamosi ya tarehe 25 mwezi Novemba, 2016 Jumuiya ya Watanzania wanaoishi kwenye jiji la Houston , Texas na miji mingine ya karibu walifanya sherehe ya nguvu kusheherekea siku ya Thanksgiving. Kamera ya VIJIMAMBO kama kawaida ilikuwepo kukupatia picha za tukio hilo .

Dada Amina with a big smile

Wana Tanzania Houston CommunityMwana-THC Bw. Wasiah Maya 


Wana THC - Bw. Mpendamani,  Bw. Katili na Bw. Ndejembi

Wana THC - Lenny, Fue, Dr. Jemga, Ephrahim, Katili na Michael

Kaka Mneney na mgeni wa THC

Bw. Neville
No comments: