
Halima Mohamed enzi ya uhai
Ndugu zetu, marafiki na majirani zetu DMV Saidi na Nuru Mwamende wamefiwa na mpendwa mama yao nyumbani Tanzania. Msiba umetokea ghafla jioni ya leo Desemba 22, 2016, Alkhamis ;nyumbani Tanzania.
Kama ilivyo kawaida yetu, kupeana pole na kuwafarijiana ndiyo desturi na mila zetu.
Msiba upo:
Address :
1500 November Circle Apt# 404, Silver
Spring, MD 20904.
Unaweza kuwasiliana na:
Saidi Mwamende 301-996-4029
Nuru Mwamende
240-603-9364 Ummi kuruthum Mwamende. 5402007736
Iddi Sandaly
Da Jasmine Rubama
Meki Mbughuni
Ally Mikidadi. 2016282133
Ahsanteni sana.
No comments:
Post a Comment