
Moja ya ajali zilizotokea kutoka na theluji iliyoanguka DMV siku ya Jumamosi na kuleta upepo mkali uliosababisha baridi kali ya kwanza katika kipindi hiki cha baridi.

Moja ya barabara Fairfax Virginia inavyoonekana katika picha.

Gari likiwa limeschs njis kutokana na theluji iliyoanguka DMV iliyoambatana na upepo mkali uliosababisha baridi kali ya kwanza msimu huu wa baridi.

Mtaa wa Wisconsin, Washington, DC

Fairfax Virginia

No comments:
Post a Comment