ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 30, 2017

WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA RCC MKOA WA DODOMA



Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akihutubia leo wakati wa kufungua baraza la ushauri (RCC) Mkoa wa Dodoma ambapo lilishirikisha Wizara,Idara na Wadau mbalimbali wanaoratibu ujio wa Serikali kuhamia Makao makuu Dodoma Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Chuo cha mipango ya Maendeleo Vijijini Dodoma ( Picha na PMO)

No comments: