ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 20, 2017

ANGALIA PICHA 189 KALI ZA MISSY T'S VALENTINE PARTY

Missy T na baba mwenye nyumba wake   wakilishana keki kwa staili yao.
Aunty Asha na baba mwenye nyumba wake wakilishana keski kwa staili yao.
The Mushala's wakilishana keki kwa mahaba na hisia kali.
Seif Ameir akimlisha keki mama mwenye nyumba wake.
Kwa mapicha kibao bofya soma zaidi

Waliozaliwa siku ya wapendanao wakiwa mbele ya meza zao wakisubili keki kuletwa.
Missy T na mumewe (nyuma ya Missy T mwenye miwani) wakiwa na keki za siku ya kuzaliwa kwa watu wawili ambao siku zao za kuzaliwa ni siku ya wapendanao Duniani.
Keki ya siku ya kuazaliwa  ikiwekwa mezani kwa mmoja mweye siku hiyo akiwa haamini macho yake.
Mohamed Matope (mume wa Missy T) akiweka keki ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mmoja ya wahudhuriaji wa mnuso wa siku ya wapendanao iliyoandaliwa na Missy T.
 Wazaliwa wa siku ya wapendanao na wapenzi wao wakipata picha ya pamona na Missy T na mumewe kulia ni aliyewahi kuwa Miss Tanga aliyehudhuria mnuso huo akitokea Houston, Texas.
 Loveness Mamuya akilisha keki msanii wa Bongo Flava Malaika.
 Missy T na mumewe wakitoa shukurani za dhati kwa wote waliohudhuria.

Picha juu na chini ni chai ya asubuhi baada ya wapendanao kula happy mpaka asubuhi katika hotel ya Sheraton walioamkia kifungua kinywa kabla hawajaondoka hotelini hapo kurudi makwao 

No comments: