ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 20, 2017

MISA NA MAZISHI YA MAMA ROSE WALDEN YAFANYIKA FREDERICK MD

Jeneza lililobeba mwili wampendwa mama Rose Walden tayari kwa misa Frederick Md, iliyofanyika mwishoni mwa juma Jumamosi Februari 18, 2016. Peter Walden mtoto wa marehemu na ndugu zake wakiwa na huzuni wakati wa misa na kuaga mwili wa mama yao mpendwa Rose Walden huko Frederick Md. Stanley Walden akiwa katika uchungu baada ya kuaga kwa mara ya mwisho mwili wa mama yake Rose Walden. Watoto wa marehemu na familia zao wakiaga kwa mara ya mwisho.
Meya Mlima akitoa pole. Alex Kassuwi akitoa pole. Patrick Kamera akitoa pole. Wanafamilia katika sala. Mwambata wa jeshi mjini Washington Dc na Canada Kanali Mutta kati kati akiwa na mkewe.Kwa picha zaidi ungana na sundayshomari.com

No comments: