Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wananchi wa kijiji cha Engusero wilayani Kiteto
waliofunga barabara wakitaka asimame kuwasalimia. Alikuwa kitoka
Dodoma kwenda Kiteto kwa ziara ya kazi mkoani Manyara Februari 15,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akivalishwa skafu baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya
kazi wilayani Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Katibu Tawala wa mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi
baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto
Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimina na viongozi wa dini baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza
ziara ya wilaya ya Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera tarifa ya
mkoa wa Manyara baada ya kusomewa mjini Kibaya katika siku ya kwanza
ya ziara yake wilayani Kiteto Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
mjini Kibaya akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani
Kiteto Februari 15, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara,
Joel Bndera na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Eliakim
Maswi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Watumishi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozungumza nao mjini Kibaya Februari 15, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment