RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BALAZA LA MAWAZIRI
2 comments:
Anonymous
said...
HABARI MUBASHARA..HAPA KAZI TU. Muheshimiwa Nape ametenda makosa matatu makubwa kutoka kwa muajiri wake yaani muheshimiwa raisi na alistahili adhabu kutoka kwa kiongozi wowote makini. (1) Muheshimiwa Nape kama waziri wa habari alishindwa kuvishawishi vyombo hivyo kukusanya nguvu zao kumpa sapoti na ushirikiano wa kutosha muheshimiwa Makonda katika vita zidi ya madawa ya kulevya na badala yake amekuja kushirikiana na vyombo hivyo kukusanya nguvu zao katika kuja kumpiga vita makonda kwa suala la kwenda kuvamia kituo cha tv. Sasa Kama watu makini bila ya kuingiza siasa na tujiulize uzito na madhara ya madawa ya kulevya kwa watanzania na madhara ya Makonda kwenda kuvamia kituo cha tv yepi yenye uzito zaidi? Hapo utaona muheshimiwa Nape alishapoteza muelekeo na ilikuwa sahihi kabisa kutumbuliwa na ningeshangaa sana kama mueshimiwa raisi asingechukua maamuzi ya kumvua wadhifa wake. (2) Nape ameshindwa kufuata chain of command na kuamua kufanya anavyojua yeye na alikuwa anaekekea kumuaibisha muheshimiwa raisi. Kama Nape aliona muheshimiwa Makonda anaelekea siko basi kwa kuwa wote wanatoka katika serikali ya CCM basi angeweza kuomba kukutana nae au kukutanishwa katika mabaraza ya ndani ya serikali ya usuluisho na kutoa duku duku lake kuelekeza yeye anavyoona sawa badala ya yeye Nape kumpiga vita muheshimiwa Makonda hadharani. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni makonda anafanya kazi ya hatari sana pale daresalam. Dar ni sehemu yenye maslahi mapana ya uhalifu na Makonda so far so good bali tulitegemea kuona angelipata sapoti na motisha kutoka kwa akina big brothers kama Nape badala ya kumjengea uadui kwa wananchi.Ni kijana mdogo bado kiumri na kiutumishi makosa ni lazima lakini ni mchapa kazi wa ukweli kabisa na ni mzalendo hasa na tungeomba muheshimiwa raisi ampatie muheshimiwa Makonda washauri wa maana zaidi ila yasije yakafanyika makosa kumuondosha pale itakuwa ni kosa kubwa kwa maendeleo ya watanzania na bila ya kusahau makonda ni mteule wa Raisi na kufeli kwa makonda ni kufeli kwa muheshimiwa raisi na pengine ni kufeli hata kwake yeye mwenyewe nape. (3) kwa kasi ya maendeleo katika mji wa daresalam ni ya nguvu ya juu mno na kupigiwa mfano chini ya uongozi wa muheshimiwa Makonda kitu ambacho wapinzani kinawaumiza sana na wasingependelea kabisa kumuona makonda akiepeperusha bendera ya CCM kiufasaha kabisa katika kuwaletea wanadaresalam maendeleo ya haraka kwani huko ni kubomoa ngome ya upizani ambao wameekeza mtaji wao siasa kwa wananchi kutokana na udhaifu wa watendaji wa serikali mtu kama Makonda upizani kamwe hawawezi kumpenda. Muheshimiwa Nape kwa kukukosa muono wa kutokuona mbali aliamua kuwasaidia wapinzani kuizoofisha serikali ya CCM. Makonda ni mtu sahihi kabisa kuiongoza daresalam kwa hivi sasa. Hao wanaosema sijui Nape shujaa ni upuuzi mtupu. Shujaa kwa kuwa anapambana kumngoa mtu aliejitolea uhai wake kuhakikisha vizazi vya Tanzania vinanusurika kutoka katika maangamizi ya madawa ya kulevya? Watanzania ni wa hovyo khpita kiasi bila ya kuwa na kiongozi mgumu na makini kama Maghufuli walahi ile nch ilikuwa basi tena. Muna ni wamusifiwa kupita kiasi kumleta muheshimiwa Maghufuli.
2 comments:
HABARI MUBASHARA..HAPA KAZI TU.
Muheshimiwa Nape ametenda makosa matatu makubwa kutoka kwa muajiri wake yaani muheshimiwa raisi na alistahili adhabu kutoka kwa kiongozi wowote makini.
(1) Muheshimiwa Nape kama waziri wa habari alishindwa kuvishawishi vyombo hivyo kukusanya nguvu zao kumpa sapoti na ushirikiano wa kutosha muheshimiwa Makonda katika vita zidi ya madawa ya kulevya na badala yake amekuja kushirikiana na vyombo hivyo kukusanya nguvu zao katika kuja kumpiga vita makonda kwa suala la kwenda kuvamia kituo cha tv. Sasa Kama watu makini bila ya kuingiza siasa na tujiulize uzito na madhara ya madawa ya kulevya kwa watanzania na madhara ya Makonda kwenda kuvamia kituo cha tv yepi yenye uzito zaidi? Hapo utaona muheshimiwa Nape alishapoteza muelekeo na ilikuwa sahihi kabisa kutumbuliwa na ningeshangaa sana kama mueshimiwa raisi asingechukua maamuzi ya kumvua wadhifa wake.
(2) Nape ameshindwa kufuata chain of command na kuamua kufanya anavyojua yeye na alikuwa anaekekea kumuaibisha muheshimiwa raisi. Kama Nape aliona muheshimiwa Makonda anaelekea siko basi kwa kuwa wote wanatoka katika serikali ya CCM basi angeweza kuomba kukutana nae au kukutanishwa katika mabaraza ya ndani ya serikali ya usuluisho na kutoa duku duku lake kuelekeza yeye anavyoona sawa badala ya yeye Nape kumpiga vita muheshimiwa Makonda hadharani. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni makonda anafanya kazi ya hatari sana pale daresalam. Dar ni sehemu yenye maslahi mapana ya uhalifu na Makonda so far so good bali tulitegemea kuona angelipata sapoti na motisha kutoka kwa akina big brothers kama Nape badala ya kumjengea uadui kwa wananchi.Ni kijana mdogo bado kiumri na kiutumishi makosa ni lazima lakini ni mchapa kazi wa ukweli kabisa na ni mzalendo hasa na tungeomba muheshimiwa raisi ampatie muheshimiwa Makonda washauri wa maana zaidi ila yasije yakafanyika makosa kumuondosha pale itakuwa ni kosa kubwa kwa maendeleo ya watanzania na bila ya kusahau makonda ni mteule wa Raisi na kufeli kwa makonda ni kufeli kwa muheshimiwa raisi na pengine ni kufeli hata kwake yeye mwenyewe nape.
(3) kwa kasi ya maendeleo katika mji wa daresalam ni ya nguvu ya juu mno na kupigiwa mfano chini ya uongozi wa muheshimiwa Makonda kitu ambacho wapinzani kinawaumiza sana na wasingependelea kabisa kumuona makonda akiepeperusha bendera ya CCM kiufasaha kabisa katika kuwaletea wanadaresalam maendeleo ya haraka kwani huko ni kubomoa ngome ya upizani ambao wameekeza mtaji wao siasa kwa wananchi kutokana na udhaifu wa watendaji wa serikali mtu kama Makonda upizani kamwe hawawezi kumpenda. Muheshimiwa Nape kwa kukukosa muono wa kutokuona mbali aliamua kuwasaidia wapinzani kuizoofisha serikali ya CCM. Makonda ni mtu sahihi kabisa kuiongoza daresalam kwa hivi sasa. Hao wanaosema sijui Nape shujaa ni upuuzi mtupu. Shujaa kwa kuwa anapambana kumngoa mtu aliejitolea uhai wake kuhakikisha vizazi vya Tanzania vinanusurika kutoka katika maangamizi ya madawa ya kulevya? Watanzania ni wa hovyo khpita kiasi bila ya kuwa na kiongozi mgumu na makini kama Maghufuli walahi ile nch ilikuwa basi tena. Muna ni wamusifiwa kupita kiasi kumleta muheshimiwa Maghufuli.
We hapo juu umekosa kazi
Post a Comment