Advertisements

Saturday, June 17, 2017

IBADA YA MISA LUGHA YA KISWAHILI BALTIMORE MARYLAND. JUNE 18, 2017 (Father's Day).

Image result for IBADA YA MISA LUGHA YA KISWAHILI BALTIMORE MARYLAND
Mnakaribishwa Sana kushiriki ibada ya Misa kwa lugha ya Kiswahili kama ilivyo desturi
yetu kila mwezi.
Ibada hii itatujumuisha na waumini wa Parokia mahususi kwa ajili hii ya Fathers day. Kwa msingi huo basi ibada itaendeshwa na mapokezano ya lugha mbili.
Ibada hii itafanyika katika kanisa la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)

Anwani: 

901 Poplar Grave St.

Baltomire, MD 21216


ZINGATIA MUDA.
Jumapili Tarehe 18 June 2017, muda Ni saa nne ya ASUBUHI (10:00 a.m)

Karibuni sana na tunakuomba usisite kumualika rafiki yako na jirani yako. (palipo na upendo Mungu yupo).

Kwa niaba ya Padri Honest Munishi ni Katibu Tibruss Minja.

No comments: