Advertisements

Thursday, June 8, 2017

IFTAR YA PAMOJA NYUMBANI KWA BALOZIMwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, Balozi Modest Mero anawakaribisha nyumbani kwake kwenye iftar ya pamoja kama kipeperushi kinavyoonekana hapo juu. Tafadhali zingatia muda. 
Asante

Gaston Mkapa
M/ Mwenyekiti
NYTC

No comments: