Emmanuela Mtatifikolo Kaganda' graduation ceremony.
Ms. Kaganda was successfully awarded Masters of Public Health from the City University of New York - Graduate school of Public Health. The ceremony took place at the Apollo Theater in Harlem 125th West, New York City. June, 01, 2017.
Ms. Kaganda akipata ukodak wa pamoja na Mhe. Balozi Modest J. Mero Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa na Mke wake kulia.
Ms.Kaganda akipata ukodak na marafiki zake kwenye sherehe hiyo.
Tabasamu mubashara la ushidi baada ya kumeza nondo zenye ujazo wa juu, kwa taswira zaidi jitiririshe hapa chini kiroho safi.
Ms. Kaganda akiwa kwenye viti vyekundu ndani ya ukumbi maarufu sana New York City na Marekani Apollo Theater, hapa ndipo sherehe zilifanyika.
Ms. Kaganda akipata ukodak kwenye kisiki chenye miujiza ndani ya ukumbi wa Apollo. Kisiki hiki kina sifa ya kukupatia bahati kwenye maisha yako pale unapokigusa ukiwa na maombi ya kutaka kufanikiwa kwa imani ya unachokifanya au kukitarajia katika ndoto zako.
No comments:
Post a Comment