Mtaalamu kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown (kushoto) akitoa maelekezo ya matumizi ya mashine ya kushindilia na kutoa uchafu kwa ajili ya kusafishia uwanja kwa uongozi na maafisa wa Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa.
Mtaalamu kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown (kulia) akionyesha mashine ya kukatia majani na kusafishia uwanja kwa uongozi na maafisa wa Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa.
Mtaalamu kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown (Mwenye kofia) akionyesha mashine ya kubebea uchafu katika ziara ya kukagua vifaa vinavyoyumika katika ukarabati wa uwanja kwa uongozi na maafisa wa Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa .
Mkurungezi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Yussuph Singo (kulia) akimpa mkono wa shukrani Mtaalamu wa Uwanja kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown (kushoto) baada ya kutoa maelekezo ya vifaa mbalimbali vya kutunza mazingira ya Uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na Lorietha Laurence WHUSM).
No comments:
Post a Comment