ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 22, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 53, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 22, 2017

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiingia Bungeni   kuongoza kikao cha hamsini na Tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha hamsini na Tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Philip Mpango  akisoma kwa mara ya pili muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2017 katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi ,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  katika kikao cha hamsini na tatu  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii  Mhe.Ramo Makani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi, Prof Palamagamba Kabudi  wakizungumza jambo na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe.Mchungaji Peter Msigwa  katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Mbunge wa Kigamboni Mhe.Dk Faustine Ndugulile akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Mbunge wa Korogwe Mjini Mhe.Mary Chatanda akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tatu cha mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
 Mbunge wa Singida Mjini  Mhe.Mussa Sima akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tatu cha mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi ,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga Mhe.Abdallah Ulega katika kikao cha hamsini na tatu cha mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments: