Advertisements

Friday, June 2, 2017

TIMU YA TUSKER YA KENYA YAWASILI KUSHIRIKI KATIKA MICHUANO YA SPORT PESA IATAKAYO ANZA JULAI 5 MWAKA HUU KWENYE UWANJA WA UHURU JIJINI DARA ES SALAAM

Wachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi Julay 5 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru maalufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.

No comments: