Advertisements

Tuesday, July 18, 2017

GARI INAUZWA

Toyota Landcruiser for Sale (Mwanza)
*Year 2000
*Used in Tanzania
*Diesel
*Automatic
*55 Milion (Negotiable)3 comments:

Anonymous said...

Hivi huyu kweli anataka kuuza gari au utani mil 55 gari inamiaka 17 anacheza huyu

Unknown. said...

Achana Na Chizi Huyo.

Anonymous said...

Hii55 millioni hi kama US $27,500. Mtu anaweza kupata gari mpya kabisa, yaani brand new. Kweli huu mtumba wa Landcruiser uuzwe kwa million 55? Watu kweli hawafikirii kabla ya kuweka matangazo. Au hiyo gari inazaa gari mtoto?