ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 25, 2017

Manji atoa uthibitisho wa dawa alizokuwa anatumia

By Fotune Francis, Mwananchi

Mfanyabiashara Yusuph Manji, leo Jumatatu amepanda kizimbani kujitetea katika shtakalinalomkabili la matumizi ya dawa za kulevya ambapo akiongozwa na Wakili wake Hajra Mungula.

Manji ameionyesha Mahakama udhibitisho uliotumwa na daktari wake kutoka Marekani kwa njia ya baruapepe wa aina ya dawa alizokuwa akitumia. Soma Zaidi

No comments: