Maafisa wapya 422 wakipita Jukwaa kuu baadea ya kutunukiwa kamishenin
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nan Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba
23, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja
wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na jukwaa kuu katika sherehe ya kutunuku kamisheni
kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
leo Septemba 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh
Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Sehemu ya umati wa maelfu ya wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja
wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh
Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na madiwani na waliowahi kuwa madiwani wa CHADEMA
walioamua kuhamia CCM wakati wa sherehe za kukamisheni maafisa wapya wa
kijeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba
23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na madiwani na waliowahi
kuwa madiwani wa CHADEMA walioamua kuhamia CCM wakati wa sherehe za
kukamisheni maafisa wapya wa kijeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
No comments:
Post a Comment