KIOATA KIPYA CHA WABONGO CHAFUNGULIWA COLUMBUS, OHIO
Usikose Jumamosi hii Oct 14 na kila siku ya Jumamosi fika umingle na wabongo wenzako na watu wengine wa mataifa tofauti Karibu Monkeys Bar & Grill kiota cha kimataifa MWANZO MWISHO HAKUNA KIINGILIO
No comments:
Post a Comment