ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 28, 2017

KISOMO CHA MPENDWA MAMA YETU KHADIJA SHABAN LONDA NORBECK, MARYLAND


Fadhil (kushoto) na Khalid  wakiwa katika picha ya pamoja kwenye kisomo cha kumwombea mpendwa mama yao Khadija Shaban Londa kilichofanyika siku ya Jumamosi Oktoba 28, 2017 Norbeck, Maryland nchini Marekani. Mama yao aliyefariki Tanzania wiki iliyopita. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
 Fadhili akifuatilia kisomo cha kumwombea mpendwa mama yao Khadija Shaban Londa kilichofanyika siku ya Jumamosi Oktoba 28, 2017 Norbeck, Maryland nchini Marekani.
Watanzania DMV na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye kisomo cha kumwombea mpendwa mama yetu Khadija Shaban Londa kilichofanyika siku ya Jumamosi Oktoba 28, 2017 Norbeck, Maryland nchini Marekani.
Watanzania DMV na marafiki zao wakifuatilia kisomo.
Kisomo kikiendelea.
Miki akitoa neno la shukuranikwa niaba ya familia.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi





No comments: