ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 8, 2017

MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI - TANZANIA LAGUSA PANDEZOTE ZA NCHI

5 comments:

Anonymous said...

Halijagusa pande zote hata kidogo......Mbona Manyara hakuna waziri wala naibu hata mmoja? Vipi Morogoro mbona hakuna waziri au Naibu waziri hata mmoja? Kilimanjaro yupo huyo mmoja tu tena amekuwepo hapo kwa ajili ya mumewe. Arusha hakuna waziri yupo naibu wakati Mbeya na Songwe jumla wapo saba na huko Kanda ya ziwa ndiyo amewajaza kabila lake. HUYU RAIS NI MUONEVU NA ASIYEJALI WATANZANIA, HIZO NI PROPAGANDA LAKINI UKWELI UTABAKI PALE PALE.

Anonymous said...

What are you talking about? Jee? Unaiona mikoa ya Njombe, Katavi, n.k. kwenye hii ramani? The author of this article hasn't presented us with facts.

Anonymous said...

Very strange...ramani ya Tanzania in display haionyeshi mikoa kama NJOMBE, MANYARA, SONGWE, KITAVI nk !! ??

Anonymous said...

Wewe anony. acha uzushi, Mbeya wako wawili mmoja naibu na Songwe wawili wote manaibu.

Anonymous said...

Uzushi gani, sasa mikoa miwili jumla mpo watano wakati.Arusha yupo naibu mmoja....Kilimanjaro 0, Manyara 0, Morogoro 0. Kawajaza wasukuma wenziwe kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini. Mbona kwingie Hakuna au yupo naibu tu kwenye baraza lenye mawaziri na manaibu 49. Mbaguzi Magufuli anaturudisha kwenye ujima.