Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisaini kitabu cha rambi rambi wakati alipofika kushiriki maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa na spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Anna Makinda, wakati wa misa ya maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa salaam za serikali wakati wa maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017.
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Anna Makinda, akinena kuhusu kifo cha Hayati askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
1 comment:
Taarifa ya wapi mazishi yanafanyika sio sahihi, ni Lindi na sio Mbinga. Kuna umuhimu wa kuandika Taarifa sahihi.
Post a Comment