Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Angela Kairuki kuwa Waziri wa Madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Hamisi Kigwangwalla kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Suleiman Saidi Jafo kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa) Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Kangi Lugola kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Mary Machuche Mwanjelwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Stella Alex Ikupa kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu) Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Juliana Shonza kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Stephen Kagaigai kuwa Katibu wa Bunge Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Ikulu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya kumbukumbu na Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya hafla ya kuapishwa jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila huku Jaji Mkuuijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri mara tu baada ya kuwaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba baada ya Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi) Mhe. George Mkuchika huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Kangi Lugola huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wizara ya Nishati Mhe. Subira Hamisi Mgalu huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Kilimo Dklt. Mary Mwanjelwa huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu) Mhe. Stella Alex Ikupa huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mhe. Juliana Shonza huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment