Mtoto Giovanni akiwa kwenye sherehe yake ya Ubatizo iliyofanyika College Park Maryland siku ya Jumamosi Oktoba 7, 2017. Giovanni alibatizwa mapema siku hiyo katika kanisha la Mt. Edward lililopo Baltimore, Maryland. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
Mama na baba wa ubatizo wa Giovani wakiwa katika picha ya pamoja kwenye sherehe hiyo iliyofanyika siku ya Jumamosi Oktoba 7, 2017 na kuhudhuliwa na ndugu jamaa na marafiki
Kushoto ni Godfrey Mallya na Martha Limo wazazi wa Geovanni wakiwa katika picha ya pamoja na mama n baba wa ubatizo wa mtoto wao.
Baba wa ubatizo wa Giovanni akiwamiminia champagne wazazi wa Giovanni akiwemo mama wa ubatizo wa mtoto huyo.
wote kwa pamoja wakitosi champagne hiyo.
chiaaazzzz
Wakinywa kwa furaha ya ubatizo wa Giovanni
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment